Thursday, October 1, 2009

Wachina Watambulisha Bikira Feki! Makubwaa


Baada ya kutoa dawa za kuongeza ukubwa wa makalio na mapaja ya wanawake, Wachina wametoa vifaa vinavyotumika kama bikira feki ambazo zimeanza kuzua mtafaruku mkubwa kwenye nchi za kiarabu.

Wachina hawajachoka kuzindua dawa na vifaa vya kuwapa urembo feki dada zetu na sasa wamekuja na vifaa vinavyotumika kama bikira feki.

Vifaa hivyo vina soko zaidi kwenye nchi za kiarabu kwani kwa mujibu wa tamaduni za nchi hizo mwanamke anayeolewa akiwa hana bikira huonekana ni muhuni na huitia aibu familia yake.

Katika nchi za kiarabu si jambo geni ndoa kuvunjika siku ya harusi baada bwana harusi kula tunda kwa mara ya kwanza na kukuta tunda lake likiwa limeishadokolewa wengine.

Bikira hizo feki zina uwezo wa kutoa damu bandia wakati wa kujamiiana na hivyo kumwezesha bi harusi ambaye hana bikira ya kweli, kuzuga kama vile bikira yake ndio inavunjwa kwa mara ya kwanza.

1 comments:

fatma said...

Asante wachina!!!
dah masista mi natafuta iyo bikra feki nina itaji mana si unajuwa culture za kiarabu tena dem bila bikra hana market kwa ndoa.. ntanunuwa, ngulisheni email yang
luv2hav2fun@gmail.com